Naibu waziri wa afya ziarani Hospitali ya Kibong’oto

Naibu Waziri wa afya ziarani Hospitali ya Kibong'oto

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile alipoitembela Hospitali ya Magonjwa Ambukizi Kibong’oto pamoja na kuzindua programu ya RE MODEL ,Program ya kufanya utafiti jinsi ya kuzuia na kupambana na magonjwa ambukuzi Tanzania.Tarehe 26/11/2018.

Author: admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *